Furaha ya Mama Ursula
"Ishini kama Yesu kwa ajili yafuraha ya wengine "
" Mtu mwenyefuraha, yeye mwenyewe ni mtume ambaye, bila kufahamu anawapeleka wengine kwa Mungu, kwa sababu anaelezea kwa wanadamu bila maneno, bali kwa tabasamu angavu kwamba kumtumikia Mungu ina maana ya kupatafuraha na amani ambazo ulimwengu hauwezi kutupalia
"Muwe wenye furaha ... wangavu .. watulivu.. Mungu ameshinda ulimwengu
"Jin,yenyekesheni chini ya mapenzi ya Mungu, ... bila kulalamika, bali kwa tabasamu mdomoní na kwa kumshukuru Mungu mi . oyoni . mwenu.
Kuna furaha gani leo katika jamii
yetu? Hasa katika kuishi kwetu?
Binadamu wa leo anaona njaa sana ya kuwa na furaha na matumaini.
Mtu anaogopa kujionyesha mnyofu sana, kwa hiyo mara nyingi anaogopa hata kusema kwamba Injlli ni "Habari Njema‑ ".'
Je, jinsi gani inawezekana kupatikana furaha wakati dunia imetawaliwa sana na umaskini na dhuluma?
Hata hivyo hakuna njia nyingine kwa kuishi kama wafuasi wa Injili bila kuwa leo washuhuda wa utakatifu wenyefuraha
Watakatifu wengi wameelewa kwamba tunahitajl dalma kuwa na furaha kwa sababu sisi sote ni watoto wa Mungu.
3
Mama Ursula ni kati ya Watakatifu ambao wameleta furaha duniani
Yeye amesema, " Mungu ni Baba yetu, kwa hiyo kile kinachotutokea kwake ni kizuri. "
Mama Ursula atneandika hiví: "Mungu alipenda kuwatakasa watu kwa njia ngumu ya msalaba. Lakini kwetu sisi Mungu ametuachia wajibu wa kuwasaidia watu katika safari ndefu ya njia ya msalaba, tukipanda kando kando yao mionzi midogo ya jua la furaha. Tunawe‑‑a kufanya hivyo mara nyingi kwa tabasamu ambalo linawaambia watu upendo na wema wa Mungu. "
Kuhusu Mama Ursula wote wanasema kwamba alikuwa .... mtu mtaratibu, mpole, mtulivu, mwenye furaha na nguvu....mtu aliyejitolea kabisa kwa affil ya wengine....
Ursula Ledochowska ametoa fundisho moja la matumaini duniani,...
4
kwamba mambo yote yatakuwa mazuri tukimtanguliza Kristu.
Tangu utoto wake walirnwita "Mionzi ya Jua" kutokana na werna wake, na uwezo wake wa kuwafariji na kuwatumikia watu kwa furaha , katika shida zao mbalimbalì.
Marna Ursula daima alíkuwa rnfano wa furaha na wa mtu mwenye kukubali mapenzi ya Mungu.
"Kama apendavyo Mungu"J, ulikuwa ndiyo mserno wake.
Tunaweza kujiuliza: kwa nini Marna Ursula alirudia daima moyoni inwake maneno ya Mtakatifu Paulo,
" Furahini katìka Bwana siku zote; tena nasema furahini?" (Waefeso 4,4). Pengíne tutajiuliza kwa nini Marna Ursula alikuwa na utulivu daima? Ukweli ni kwamba yeye alikuwa na imani sana.
Tulciangalia inaisha ya Yesu tunaona kwamba dhambi ilimsikitisha sana, (tazama alipokuwa pale bustanìni
5
jInsi alivyopata uchungu wa mateso.) Kweli Yesu alisuliblwa, lakini baadaye amefufuka, akishinda mauti na dhambi zote.
Kwa hlyo kuwa katika furaha daiina ni tendo la imani katika Ufufuko. Yesu ni asili ya Ufufuko wetu, ni yeye ambaye anageuza misalaba yetu na maisha yetu yote
Mara kwa mara tunasikia huzuni kwa sababu tunaona kwamba watu bawatuheshimu, hawakubali imani yetu au hawapokei vlzurí kazi yetu. Pengine tunaweza kusikia huzuni kwa sababu sisi tunapanga maisha yetu vizuri ...baadaye matukio mbalimbali ya maisha yanabomoa mipango yetu au kuifanya lwe bila maaria. Basí katika hali Iiii tunashindwa kuamini kwamba
"Bínadamu anahangaika na Mungu anamwongoza "
Kwa hiyo itakuwa afàdhafl kuishi tena matumaini ya klkristo
6
ambayo ni kuamini kwamba Bwana atatusaidia daima na hakuna kitu kinachopotea, kwa sababu Bwana anapima kila kitu na anatoa thamani hata kwa tendo nyenyekevu dogo... hata kama matokeo ya kazi zetu ni tofauti ya yale tuliyotamani...bali ni yale Mungu aliyopanga.
Furaha ni upendo kwa ajili ya wengine
Ushuhuda wa furaha ni tegemeo na unatia nguvu kwa wale waliokuwa na huzuni na matatizo.
Mama Ursula aliishi sirí hli na aliwaachia inasista wake kama urithí maaluni
Yeye aliandika " tunalalamika mara kwa mara kwamba leo haiwezekani kumwona mtu mwenye uso intulffiu, na wa tabasamu. Muda huu ni mgumu.. mgumu sana, na juu ya uso wa waiu wazima na hata wa watoto tunaona hicuni. Kama baada ya muda
7
mrefu wa baridi, binadamu analzitaji mionzi ya jua, hivyo wakati huu mgumu tunatafùta uso wenye ulufivu unaoan'gaa na kwa tabasamu.
Kwa hlyo Imani, Tumaini
Upendo ni chemcherni ya ndani ya maisha na toka cherncherni hii inatoka furaha safi yà lnjili
Atusaidie kuwa na furaha Mama Bikira Maria aìiyependwa sana na mama Ursula.
Huyu Bikira ambaye ameimba " Moyo wangu Warntukuza Bwana " wimbo wa furaha. Huyu aliyeitwa na wakristu wote " sababu ya furaha yetu
(Maneno ya Padre C. Calori
8
Mia ‑ Ursula
LEDOCHOWSKA
Alizaffiva mwaka 1865 huko Loosdorf karibu na Vienna.
Alipokuwa na niáaka 21 Mia aliingia Shirikaiú katika Konventi ya Wa‑Ursula wa Kracow . Aliweka nadhiri zake mwaka 1889 na kupataJina la kitawa URSULA
Utume wake wa kuelinùsha ulimpeleka mpaka Urusi na Finland, ( 1907 ‑ 1914 )
Alifukuzwa Urusi kwa sababu za kisiasa na ~enda kuishi Swcden, na Denmark, huko alifanya kan mbalimbali kwa kuwasaidia wa4 tena kwa bidú na bila kuchoka alijitahidi kutetea usawa na heshina ya mwanadamu. Afikuwa na kipaji maalum kilichomfanya aweze kuwaungaiùsha watu
9
wa fikra na madhehebu mbali mbali katika lengo moja Katika mwaka 1920 afimdi Poland atnbapo kwa nihusa ya Makao Makuu ya Baba Mtakatifu, aliunda tawi íipya la WaUrsula: "Wa‑Ursula wa Moyo wa Yesu Mteswa" Lengo la kwanza la Shirika jipya lilikuwa kuwasaidia vijana wenye kuhitaji msaada, tena kuwa tayari kwa mahitaji ya kiroho na ya kiinwili ya kila nchi na kila mazingua. Kafiba ya Shirika ilipata uthibifishowakudumu mwaka 1930.
Alikufa Roma mwaka 1939.
Mama Ursula alitangazwa Mwenye Heri na Baba Mtakatifu Joliani Paulo Il huko Poznan‑Poland tarehe 20. VI. 1983
U.7VME WA TABASAMU
Tabasamu Huondoa ‑ Mawingu yen3w Huzuni
Tabasamu Huongea ‑ Furaha ilo moyoni
Tabasamu tulivu ‑ Lina umoja na Mungu
Tabasamu huonyesha ‑ Tumejitupa kwa Baba
Na Baba Hulupokea ‑ Mikononi mwake hakika
Baba ~sahau ‑ Watolo wake hakika
Tabasamu Huongea ‑ Juu ya Dhamira safi
Tabasamu ni alama ‑ Yaukaribi&ho hakika
Tabasamu huondoa ‑ Woga kwa aluomba>v
Tabasamu.Hukaribisha ‑ Kwa yuk Umsaidiaye
Tabasamu Hukta ‑ Tumaini kwa wanyonge
Roho zilo kala tamaa ‑ Tabasamu hufia moyo
Tabasamu ni nyota ile ‑ Inayongaa angani
Tabasonu Huonyesha ‑ Yupo Baba alulindaye
Tabasamu Ruon)wxha ‑ Pendo la Mungu
Alusaidia Daúna ‑ Sisi wanaye hakika
Haya Nimewaonye&ha ‑ Utume wa Tabasamu,
Ni Njra Yeffi Ndogo ‑ Isiyodai Makuu
Haya na Tuishi ‑ Kwa Tabasamu
Ndilo Pendo ‑ na Utume welu
lfaneno.va Alwenve Heri Ursula
Shairi ya P. D. Kinabo